Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]okee okee,, kumbe ndiyo maana hata jina lako lina utata..

Cc Atoto

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijaona utata, Nipo JF toka sijui 2011? Ndio nashangaa huku jina Lina utata, ila hapa nimepapenda [emoji23]. Nashangaa unasema N imefutika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo kuna muda hiyo N ya kwanza inakuwa haionekani

Mhhh, Hata nimeweka Herufi kubwa Bado tu, naibadilisha rangi, Hata hivyo Bado sijajua linatatiza wapi [emoji23] , Naweza kukutafutia mkali wa Haya mambo chini [emoji23] atakuondolea utata.

Mi daftari langu la Mwandiko sijui niliwahi liacha wapi hata sikumbuki kama nilikua nalo [emoji23]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…