Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,347
- 37,804
Nikitoka lodge hapa nakuamkia shangazi yangu wa ukweliHuna adabu, haya nipe heshima yangu upesi. Mwamkie shangazi yako...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtoto utafia juu ya vifua, vya mashamgazi.Ni
Nikitoka lodge hapa nakuamkia shangazi yangu wa ukweli
Kupitia uzoefu wangu wa miaka mingi naweza kujua lipi Og lipi fake hata kama litafichwa kwenye dela
Unafanya kama Hakimi, then boom unasikia ur step dad file for divorce.
Mida ya jumuiyaaa hiiAmkeni tupige morning glory [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Babu
Hako ka lips kame fanya nipeleke hisia mbali kweliHello Fam
# Komwe[emoji16]View attachment 2587923
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hiki kifurushi cha leo sijui cha wiki
Komwe kama ngumi[emoji38]Komwe tamu la kissing [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Just jocking [emoji38][emoji1]
Mchana nikilipiga mafuta linawaka hatari[emoji38]Komwe kama Solar
Umependeza shem
YNWA[emoji91][emoji91]
Mwee pole CocaPicha hazifungukii, yaan tabu tupuu.
Hii app cjui vipi lol
Huko kwenye saa limejaa komwe[emoji38]Mrembo Saint Anne tupunguzie basi ukubwa wa saa [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Ndiyo twist.umependeza , umetwist eeh
Lips pana kama za domo [emoji38] zimekupeleka wapi kihisiaBabu
Hako ka lips kame fanya nipeleke hisia mbali kweli
hehehe jamani radi zimeniogepeshaAmkeni tupige morning glory [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
nzuri sana uwe unasuka hizo zimekupendezaNdiyo twist.
Nilitaka kunyoa wakanishauri nitwist maana huwa hazina usumbufu sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mralaam wa mitikisikoKupitia uzoefu wangu wa miaka mingi naweza kujua lipi Og lipi fake hata kama litafichwa kwenye dela
Kwenye kunyonya koni😁😁😁😁Lips pana kama za domo [emoji38] zimekupeleka wapi kihisia
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app