Mim niko tuππ
Nipo mkoani since jana huku alipo Antonnia lkn ajabu mwenyewe hayuko amesafil likizo kaenda kula bata huko Zambia.πππ
Kwa hyo nmezubaaa acha.
kesho kwenye magazeti ya the guardian ukurasa wa mbele ni @Carrasco aonekana mahali akisotea picha ya mrembo @loveness 2 bila mafanikio subiria tu kesho mapemaππππ