Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy Easter wana selfikaaaaaaaa✌️✌️!

Happy 10 years in Jf piaaahhhh✌️✌️✌️✌️
Joined 9th April 2013!!!


Baada ya kushiba karibunii tushangilieee

Muwe na wakati mwema and enjoy your Easter wapendwaaa!!😘
 

Attachments

  • Screenshot_20230409-153802~3.jpg
    45.3 KB · Views: 6
Happy ten years at jf.

That is a milestone.

Keep counting years In jf.

Nna Ombi moja Kwa niaba ya Wana tunduma.

Toa hiyo imoji tuone msuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jirani

Mwenye mwanya

Atakuwa mzuri wa kurusha mitupo

Amaizi galiho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…