Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
watu wanahangaika na yoni pearls , steaming na douche . Kha balaaHizo hekaheka sijawahi maishani mwangu, navisikia tu na kuona kwenye mitandao. Sijawahi waza kutumia. Naamini Mungu alivyoumba alijua ibaki hivyo. Na ni mtroooooo
Wozaaa Antonnia umemsikia mbantu! Unaambiwa Ni motrooHizo hekaheka sijawahi maishani mwangu, navisikia tu na kuona kwenye mitandao. Sijawahi waza kutumia. Naamini Mungu alivyoumba alijua ibaki hivyo. Na ni mtroooooo ππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Sawa π π πSiri yangu πππππ
Naam!Jamani jana niliweka kitu na kikajifuta japo watu waliquote. Sasa nataka kujaribu labda nimewezea settings πππππ
Nairudia ya jana isipofutika imekula kwangu π€£π€£π€£π€£ iquote tuone. Jana kule ilifutika kabisa.Naam!
just do it
Fanya hivo dearrr tunasubiria hapaaaJamani jana niliweka kitu na kikajifuta japo watu waliquote. Sasa nataka kujaribu labda nimewezea settings πππππ
Mbantu umeanza lini uswahiriiii rakini πππ! Namalizia kitu hapa kipenzi nikimaliza nitawabless msijareeeee!
Asante Yes dear nataka kuona kama itafutika kama jana.Kwahio tuiquote ili uone kama itafutika mazima eeh???
Utaniuaaa weee mwanamke umejuaa kuumbwa ukaumbikaa banaπππ!
We mzureeeee
Weka tu nimeshatoa somo wote wameelewa mwiko kuquote mzigo wa bantu lady πJamani jana niliweka kitu na kikajifuta japo watu waliquote. Sasa nataka kujaribu labda nimewezea settings πππππ