Selfika na JF: Snap it. Show it


Sema nae ni mtoaji mno sana na ni mzee mwenye upendo aliejiweka karibu na jamii hasa kanisani na jumuiya.
Mwenye nacho anaongezewa [emoji23][emoji23]
 
Unajua yupi yamo na yupi pasi tu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kumbe nawe una hio tabia Nakugawaaa walaiii!! Halafu Wengi wakituma wanakataga sijui Kwanini niliona siku moja brod Mshana ndio alitupia mzigo furuuuuuu[emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23]
 
View attachment 2567416
Kuna watu tukiwaambia tumekula chumvi nyingi huwa hawaamini, Imagine huyo ni last born wangu πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

Hello Monday πŸ₯‚
Umeweka Emoji kubwa sana babuuu hongera sana Kijana huko vizureeeee!
Mie misuli yake tyuu!! in cocastic voice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…