Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu kijana mmoja akanisalimia "shikamoo madam" rafiki akaniuliza "mbona huyu mzee anakusalimia shikamoo"? Nikamjibu ni mwanafunzi wangu huyo, hakuamini. Hivyo usione ukadhani, nimekula chumvi ya kutosha.