Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli kabisaa. Mafundisho hayoo yanatukosesha vitu vizuri imagine
Huli bata, kitimoto, kambale
 
Yanga wakiigiia huku akili Yao wakiiweka Kwa Simba wamekisha.

Wacheze bila kuwawaza Simba

They can win just 60%
Natumaini wana mwanasaikolojia mzuri ambaye anaweza kuwasaidia. Wakiingia wamepania kupiga mabao mengi kama baharia aliyemkamia demu kitakachowapata hawatakuja kukisahau. They should remain calm and just play football....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…