National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
Mungu alikuumba sister π₯π₯π₯ upo kazuriii
Kunifukuza?Pambana na mie nitakuongeza mang'ombe kikubwa atoke home bwana shemeji
π π π π uende banaaaKunifukuza?
Aririririiirih ππππ! Mtoto mkareee mtoto Jicho jichooo mtoto poteabooo auweeeeehhh π₯π₯π₯π₯πππ! Santo sana sis hakika mchana unaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa!!
Ngoja sasa nifute kabula sijakaririwaaa kuna watu wataalamu wa kukonekt dotsAririririiirih ππππ! Mtoto mkareee mtoto Jicho jichooo mtoto poteabooo auweeeeehhh π₯π₯π₯π₯πππ! Santo sana sis hakika mchana unaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa!!
π π π mtani mavi ya kale hayanuki .. ivi mliwafunga Raja Casablance tatu kwa ngapi π€£π€£π€£π€£Lol lol lol nyie haooo....hebu tulia nisije kukumbusha kichapo chenu
Mtani wangu Kalpana u mrembo sana na sura ya upole πππππ mtoto umetulia tuliii. Mgonjwa nimepata hadi nafuu. π
Weee acha tuu sitaki kukumbukaπ π π mtani mavi ya kale hayanuki .. ivi mliwafunga Raja Casablance tatu kwa ngapi π€£π€£π€£π€£
Hilo jichooo sis ni π₯π₯ Nouma nanusu!!πππNgoja sasa nifute kabula sijakaririwaaa kuna watu wataalamu wa kukonekt dots
ππ mie kama mtu nisipo onana nae zaido ya mala tano uso kwa uso siwazi mkumbuka kwa picha ndio kabisa siwezi linganisha ingawa kuna watu hatari mala moja kaisha jua π π π unaweza nipa picha yako hapa nikakuuliza na huyu nani ... juzi kuna stuff mpya ofisni nilimuona mala mbili, tukakutana shemu sikumtambua kabisa badae nimerudi ndio ananiongelesha nikabaki nacheka sijui tatizo gani hili au uzeee π π πNgoja sasa nifute kabula sijakaririwaaa kuna watu wataalamu wa kukonekt dots
Jamani mimepitwa fnya kunibless tena sekunde kadhaaNgoja sasa nifute kabula sijakaririwaaa kuna watu wataalamu wa kukonekt dots
Basi mtani agiza hata Novida ifute kumbukumbu aunt Bantu Lady atalipia π πWeee acha tuu sitaki kukumbuka
Hamna tunatofautiana sana..mimi nikikuona mara moja tuu tukaongea au kusalimiana sitakusahau ila mpk tuongee kwanzaππ mie kama mtu nisipo onana nae zaido ya mala tano uso kwa uso siwazi mkumbuka kwa picha ndio kabisa siwezi linganisha ingawa kuna watu hatari mala moja kaisha jua π π π unaweza nipa picha yako hapa nikakuuliza na huyu nani ... juzi kuna stuff mpya ofisni nilimuona mala mbili, tukakutana shemu sikumtambua kabisa badae nimerudi ndio ananiongelesha nikabaki nacheka sijui tatizo gani hili au uzeee π π π
JomoniiiJamani mimepitwa fnya kunibless tena sekunde kadhaa
Yaani hata sikudhania πππππ hufananii mtani. Ndiyo watu tunawaambia, tunayofanya hapa huko nje tuko tofauti kabisa. Mzuri sana na mshepu huko chini nimeuona mtani. Miye mchunguzi, umekaa ila nimeonaa mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Thanx dear mtani..sifananii na nayoyafanya jwny jukwaa la michezo hahahahhahahah ni mpole kweli
Uzeemie kama mtu nisipo onana nae zaido ya mala tano uso kwa uso siwazi mkumbuka kwa picha ndio kabisa siwezi linganisha ingawa kuna watu hatari mala moja kaisha juaunaweza nipa picha yako hapa nikakuuliza na huyu nani ... juzi kuna stuff mpya ofisni nilimuona mala mbili, tukakutana shemu sikumtambua kabisa badae nimerudi ndio ananiongelesha nikabaki nacheka sijui tatizo gani hili au uzeee
Kweli una macho ya kidukuzi hahhaa πYaani hata sikudhania πππππ hufananii mtani. Ndiyo watu tunawaambia, tunayofanya hapa huko nje tuko tofauti kabisa. Mzuri sana na mshepu huko chini nimeuona mtani. Miye mchunguzi, umekaa ila nimeonaa mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯