Ameen,
Umesahau alivokua anaweweseka kila mlango ukifunguliwa anawaza usafiri wake hahahahah
Nakusubiri , kijiko cha kwanza hadi cha tano tuna lishana βΊοΈβΊοΈβΊοΈAsante sana mjomba namalizia hapa nakuja kuungana nawe tule wote hapoo!
Im Coming soon mjomba wangu relaxx!!Nakusubiri , kijiko cha kwanza hadi cha tano tuna lishana βΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Big na hamsini hamsini zake mpya VS bembela π πNimekukumbuka Nimecheka sana nikamkimbuka bwana Big na yule jirani alomkomesha big alikua anaitwa nani vilee? Lol nishamsahau marahii
Farasi akimsubiria mfalme
Kaka ukiichoka uniambie
Bembela noumaaa sanaa mjomba!!Big na hamsini hamsini zake mpya VS bembela π π
[emoji23][emoji23]yameisha ndugu tuendeee kufurahi hapa jf [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka Sana ujue( nikiwa binti)
Uongo[emoji23]Miaka 8 ulikua kitoto na sasa ndio bint
Alafu unasikia Bembelea ndio kawatoa misukule Big, mke na watoto ndio wanafanya biashara yake iende vizuri sanaBembela noumaaa sanaa mjomba!!
Kutimiza 22[emoji23][emoji23]yameisha ndugu tuendeee kufurahi hapa jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Alfu Nina bday ya kutimiza Miaka 32 naomba nikupe mualiko[emoji7]
Mimi utakuta nimehamia jukwaa la siasa nataka kugombea ujumbei WA nyumba kumiHili jukwaa limeshakuwa kijiji ndani ya Jf, natarajia kuona makubwa zaidi huko mbeleni nitakaporudi tena.
Unanitania wew[emoji23]Kutimiza 22
Kunawat walitamani kuwa bembela [emoji1][emoji1][emoji1] wapte helaAlafu unasikia Bembelea ndio kawatoa misukule Big, mke na watoto ndio wanafanya biashara yake iende vizuri sana
Nahis ndio umri wako kwa muonekano wakoUnanitania wew[emoji23]
Bembela nukseee sana kapindua meza banaaAlafu unasikia Bembelea ndio kawatoa misukule Big, mke na watoto ndio wanafanya biashara yake iende vizuri sana
Bembela bingwaa sanaaa π π πBembela nukseee sana kapindua meza banaa