Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
InabidiKwahyo mi siwezi kukuchekesha mpaka huyo dogo Carrasco putin na hela zangu nakupa we unaenda weekend kuspend nae! Na unajua namiliki mguu wa kuku haya [emoji34]
Kabisa mjomba tunywe tufurahi kwaraha zetuuu;;Aunt Antonnia baada ya ushindi wa leo , tunatakiwa tupige hii kitu hadi iishe 🤣🤣🤣View attachment 2547872
Ndefu ndo uzuri wakeZina uzuri gani hapo? [emoji1787]
Ukipaka rangi zinakuwa ngumu..
Jaribu.
Ukiziacha bila rangi ndio zinakatika.
Maisha ndio haya haya aunt wangu 😊😊 tufurahi, tupendane maisha yasonge..Kabisa mjomba tunywe tufurahi kwaraha zetuuu;;
Kam kauwaaa mjomba umeona eeehhh!!Maisha ndio haya haya aunt wangu 😊😊 tufurahi, tupendane maisha yasonge..
🤗🤗🤗 nakufurahi aunt wangu weeeeKam kauwaaa mjomba umeona eeehhh!!
LolKwahyo mi siwezi kukuchekesha mpaka huyo dogo Carrasco putin na hela zangu nakupa we unaenda weekend kuspend nae! Na unajua namiliki mguu wa kuku haya 😠
Location boss..
For the love of the weekend, unataka kuona nini nikubariki nacho kwa Leo tu though..!!National Anthem naomba umwite Carleen popote alipo aje aselfike!
Mimi hina sijanunua kitambo sanaNdefu ndo uzuri wake
Sipakagi sana rangi mkononi , napenda henna Kwa mkono .
Ndefu ndo uzuri wake
Sipakagi sana rangi mkononi , napenda henna Kwa mkono .
wanasema ukipaka henna za dukani muda mrefu kucha inaharibika , unazo ngumuMimi hina sijanunua kitambo sana
Mara ya mwisho nimepaka chuo,marafiki zangu waislam walikuwaga nazo.
Ila nadhani Nina asili pia ya kucha ngumu..
Wakati wa kufua Kuna muda hadi zinageuka,inajifunikia upande mwingine
Zinauma, ila hazikatiki.
nzuri za kwako mkuuZa siku mingi, Tinslay?
Sijui ukojeSonnet 116 by William Shakespeare
love doesn't fade away no matter the obstacles
True love is like a lighthouse that always guides lovers back to each other .
Kumbe?wanasema ukipaka henna za dukani muda mrefu kucha inaharibika , unazo ngumu