Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,301 Chakorii said: Kuna Braza hapo juu.mzima lakini kipenzi?umekuwa adimu sana Click to expand... nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibana
Chakorii said: Kuna Braza hapo juu.mzima lakini kipenzi?umekuwa adimu sana Click to expand... nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibana
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,302 mtu chake said: nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibana Click to expand... Kikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msingi
mtu chake said: nani tena huyoo, asidhani watekaji na wasiojulikana tumesafiri ..KIPENZI nipo ila mambo ya majukumu kdg yananibana Click to expand... Kikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msingi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,303 Chakorii said: Kikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msingi Click to expand... yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lkn
Chakorii said: Kikubwa usima kipenzi.maisha ni kubwanwa na mambo ya msingi Click to expand... yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lkn
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,304 mtu chake said: yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lkn Click to expand... Hii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆 huyo mtoto mzuri aliyekubana mwambie awe anakuachia kidogo
mtu chake said: yeah KIPENZI ,ndio maana nakupenda kama DUNIA ,miaka 80000,mambo vp lkn Click to expand... Hii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆 huyo mtoto mzuri aliyekubana mwambie awe anakuachia kidogo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,305 Chakorii said: Hii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆 huyo mtoto mzuri aliyekubana mwambie awe anakuachia kidogo Click to expand... hahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tu
Chakorii said: Hii kamba ya dunia uliyonifunga si nzuri kipenzi😆😆😆😆 huyo mtoto mzuri aliyekubana mwambie awe anakuachia kidogo Click to expand... hahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,557 Mar 1, 2023 Thread starter #314,306
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,307 Mshana Jr said: View attachment 2533747 Click to expand... Anko nakuja chap.naomba lokeshen
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,308 mtu chake said: hahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tu Click to expand... Wapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yani
mtu chake said: hahahha,KIPENZI mie siwezi kupiga kmba wewe, na hakuna wakuniteka zaidi yako, nasubiri urudi tu Click to expand... Wapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yani
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,309 Chakorii said: Anko nakuja chap.naomba lokeshen Click to expand... kuwa makini si unajua KILEVI hicho?
Chakorii said: Anko nakuja chap.naomba lokeshen Click to expand... kuwa makini si unajua KILEVI hicho?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,310 Chakorii said: Anko nakuja chap.naomba lokeshen Click to expand... Hahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv?
Chakorii said: Anko nakuja chap.naomba lokeshen Click to expand... Hahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,311 Chakorii said: Wapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yani Click to expand... hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbue
Chakorii said: Wapo wengi kipenzi nakuzoom kimya kimya😆😆😆😆😆😆😆😆hatari tupu yani Click to expand... hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbue
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,312 mtu chake said: kuwa makini si unajua KILEVI hicho? Click to expand... Nitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangu
mtu chake said: kuwa makini si unajua KILEVI hicho? Click to expand... Nitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,313 mtu chake said: Hahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv? Click to expand... Wacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweli
mtu chake said: Hahahahaha, nahisi ka presha inaanza kunipanda hv? Click to expand... Wacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweli
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,314 Chakorii said: Nitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangu Click to expand... hao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjomba
Chakorii said: Nitakuwa niko kwenye mikono salama ya anko wangu Click to expand... hao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjomba
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,315 mtu chake said: hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbue Click to expand... Punguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆
mtu chake said: hahahaha,kipenzi sio kweli kuwa wako wengi,mie najua uko PEKEE YAKO KIPENZI hao wengi ,wasikusumbue Click to expand... Punguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,316 Chakorii said: Wacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweli Click to expand... hahahaha, na unavyonijuilia sasa,hahaha kweli acha ipande
Chakorii said: Wacha ipande tu hakuna namna.yani uwe karibu yangu halafu ukose presha sio kweli Click to expand... hahahaha, na unavyonijuilia sasa,hahaha kweli acha ipande
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,317 mtu chake said: hao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjomba Click to expand... Labda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salama
mtu chake said: hao anko zenu wa mujini hao, huwa janja janja sana , bora ungekua kwa mjomba Click to expand... Labda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salama
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,318 Chakorii said: Punguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆 Click to expand... hahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kamba
Chakorii said: Punguza kamba kipenzi ninafaili lako😆😆 Click to expand... hahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kamba
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 1, 2023 #314,319 Chakorii said: Labda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salama Click to expand... hahahahahaha, sawa kipenzi
Chakorii said: Labda kwa hao anko wengine wa huko kwenu ila wa huku kwetu wako salama Click to expand... hahahahahaha, sawa kipenzi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 1, 2023 #314,320 mtu chake said: hahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kamba Click to expand... Ninakuzoom
mtu chake said: hahahahaaha, huwezi kuwa na faili langu , KIPENZI ila pia sikufungi kamba Click to expand... Ninakuzoom