ππN sawa na kusema neno lenye maana sawa kama vileKisawe ni nini ticha? Sisi wengine tunafahamu masawe tu wa kule Moshi.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni lumbwiKisawe cha KINYONGA siyo "kundinyota"
Angalau neno "KIGEUGEU" linaendana.
Kudinyota = "star constellation" kwa maana ya kwamba ni kundi la nyota zinazoonekana angani kwa pamoja kama kundi moja.
Ok.ππN sawa na kusema neno lenye maana sawa kama vile
Pesa-hela
Tembo-ndovu
kipenzi changu,nani tena anataka kuchukua NAFASI sio yake?Achana na hivyo vyote kijana.kipenzi ni mmoja tu mtu chake.
Hili ndilo jina ambalo akiniita popote ninajua huyu MC.
Mpenzi- mchuchu.[emoji23][emoji23]N sawa na kusema neno lenye maana sawa kama vile
Pesa-hela
Tembo-ndovu
kipenzi naona vijana wana jisumbulisha kwako, aisee wakuache KIPENZI CHANGUKaka huu ukipenzi umeanza lini ndugu yangu.ukipenzi ni Kwa mtu chake tu
Mwanafunz wa ovyoππππMpenzi- mchuchu.
Mbususu- papuchi
Nimepatia Madam?
Kwema niambieOk.
Kiswahili Mimi Ni zero kabisa...kwema lakini mrembo?
hahahahahahahaMpenzi- mchuchu.
Mbususu- papuchi
Nimepatia Madam?
Selfika basi tuone lipsi denda. πKwema niambie
siku hizi naona wanapotezea ku selfika sijui tatizo nnSelfika basi tuone lipsi denda. π
Hata Mimi sielewi mkuu.siku hizi naona wanapotezea ku selfika sijui tatizo nn
dah ,wanatunyima UHONDOHata Mimi sielewi mkuu.
Labda wanakatazwa.
Nini kifanyike mkuu ili warudishe moyo?dah ,wanatunyima UHONDO
dah,ndio najaribu kuangalia ni namna gani ,tufanye warudi na kuselfikaNini kifanyike mkuu ili warudishe moyo?
Tuanze na sophy27 aselfike Sasa hivi.dah,ndio najaribu kuangalia ni namna gani ,tufanye warudi na kuselfika
itakua vzr ,mie nampa BONUS akiselfika muda huuTuanze na sophy27 aselfike Sasa hivi.