sophy27 nimepakumbuka Sana kijijini kwetu; mda wote unakuwa umeshiba Tena bila kipimo
Nasikia saivi mvua Ni nyingi sana uko, mmelima mpunga wa kutosha na mavuno yamekaribia;
Lazima nirudi nyumbani k mchele kilo 3500 imenichosha huku mjini
View attachment 2530953