MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,610
Ila mabinti wa Kinyarwanda huwa hawajuagi kukataa kabisa,.....Hapana nilirudi mzee ila nilifaidi kipindi chote yupo chuo nilikuwa naishi nae home π π π alikuwa kama mke wangu. Sema ......View attachment 2526722
Katika nyimbo 100 za Pop nadhani haikosi kabisa.....HIi ngoma naikubali sanaa
π π na kweli ishatoka , ingawa huwa kwa mwaka naonana nae mala moja.. maana hat siku tunaatengana tulijifungia ndani kulia π€£π€£π€£π€£π€£ kila mtu ana mmbebeleza mwenzake..Ila mabinti wa Kinyarwanda huwa hawajuagi kukataa kabisa,.....
Ukishampa uhakika wa maisha mazuri tu, ishatoka hiyooo......
Hiyo ikipigwa club mida yetu ile kwenye mziki wa maana lazima munyanyuke hata kama mumechokaKatika nyimbo 100 za Pop nadhani haikosi kabisa.....
Daaah, ila wewe jamaaa!!! Natamani ningekuwa na moyo kama wako.......π π na kweli ishatoka , ingawa huwa kwa mwaka naonana nae mala moja.. maana hat siku tunaatengana tulijifungia ndani kulia π€£π€£π€£π€£π€£ kila mtu ana mmbebeleza mwenzake..
Hiyo ikipigwa club mida yetu ile kwenye mziki wa maana lazima munyanyuke hata kama mumechoka
NakujaNasemajee!nasemajeβ¦ugali kidogo mboga nyingi
View attachment 2526761
Hii hata kama umekaa kwenye kiti lazima hata kichwa kicheze tu
π π π ila akisema yes, na akakuelewa.. utaishi vizuri. Mie nilikuwa namnyaa kumtongoza, nikaomba kwa wadau.. nikawa naongea nae ila nachomoa kuonana nae kuogopa π π π siku moja nikakosea mahesabu aka note ni mie.. akasema kumbe ni wewe sasa mbona unajificha ficha.. nikawanywea na jashoo zitoo mzeee.. tukaanza safari hapo.. chuo kilikuwa kinafungwa, ile anarudi nikalipia hostel yake na rafiki zake, na mashoping .. alafu nikafanya yangu dogo akahamia home kabisa.. ila hawapendi usariti yani ukila mahala akajua jipange kisiasa π π nahisi toka nilikuwa nae sikuwai chepuka miaka mitatu mizimaDaaah, ila wewe jamaaa!!! Natamani ningekuwa na moyo kama wako.......
Wako vizuri sana sema tu tabia ya visirani vya chini-chini na kushindwa kukataa ndiyo inanikera.....
Hatari sana hizi ngomaa nakumbuka mbali hizi ngoma club flani flani
Fanya chap boss wanguNakuja
Hii mbona kama ulikua unachoma mkaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Au umemaliza msosi wenyewe kwanza niishie zangu hapa hapaπ πFanya chap boss wangu
Nimepika mwingine tayariAu umemaliza msosi wenyewe kwanza niishie zangu hapa hapaπ π
Nakula vyakula π π πNimepika mwingine tayari
Yameisha π₯΄Nije unilishe ππ
Hapa kuna kitimotto,mnavu,nyanya chungu na ac.yake ugaliNakula vyakula π π π