Walinila last weekWamekula kichwa[emoji16]
nilidhani umelimwa bani ila naona una koment.injoi
Am enjoyingnilidhani umelimwa bani ila naona una koment.injoi
toa hioban unanikata maini.Am enjoying
Forever ever
Pole ππtoa hioban unanikata maini.
Hivi sio kosa kweli? Wasije nirudishia ban ingineHahahah
Nije pm unishauri πNa unakonda kweli au
Em tuone nikushauri
Adi napiga chafya hapaKwamba nanukia ban?
Mh chitaki ππππ bado nina hasiraIondoe tu rafiki mwema
π€£π€£π€£ Ukorofi tuWalinila last week
Na mm nimeiba avatar yao
Uje ukiwa umenenepaNije pm unishauri π
Nyau π€£π€£Adi napiga chafya hapa
Ila mbona hata hutukanagi jamaniKwa lile kosa
Sio la kupewa ban ya siku 7
Af kumbe sina koneksheni ππ
yan napitia konekshen ndo napunguziwa zibaki 3
Sema nashukuru we uliyenikonekti
Maana hizo 4 nyingine dah π₯Ή
Nimeambiwa niache kutukana sijui kusema watu
Sawa
Sahiv dustin bin itajaa π
Ukisema 1+1 ni 11
Nikikwambia ni 2 ukikataa
Nakuweka bin ππ
Chitaki stress na watu wenyewe hamjulikani Lenie
Natamani nikusababishie ban ππ
Ila nimeokoka
Hallelujah
Mapendo ya kinafki na kiukweli yaendelee
Em sema nisikie?Ila mbona hata hutukanagi jamani
Ningesema neno ila wacha tu nifunge mdomo.
Hahahaa ban mimi itaanzia wapi
Umenogewa eehπ₯°
Hivi uko ban ni wapi eti napasikia tu [emoji16][emoji16][emoji16] DepalHivi sio kosa kweli? Wasije nirudishia ban ingine