Kumekuchaaaaa
amkenii amkenii wapi mamaa
Antonnia kipenzi cha babu kijana
Grahams
Wapi mamaa
Ms cee roho yangu mie
Natuma salamu za asubuhi kwako
Tinsley nyonga mkalia ini wangu.
Uhali gani
Wigelekelo hapo tunduma mpe salamu
Saint Anne mwambie kesho niko mbeya.
Wapi boss kubwa
Mjep anayemuweka mjini mngoni mwenye matashtiti yake mjini
cocastic
Kamaa nakuona mzee wa chaputa
Carrasco putin unavomkumbatia mpenzi wako jamaa
Popote ulipo
National Anthem kijana anayeishi mjini kwa kufuga na kuuza kasuku
Salamu za asubuhi pia zikufikie kwako doctor wa mifupa hapo moi
myoyambendi
Wapi mamaa
Lenie kazi mlima mshahara korongo
chezea wahindi
Una raha gani unalala mpaka muda huu na uko kwenye nyumba ya kupanga amkaa ukapambane!
Sio kwako hpo