Eendiwoooooooo kipenziiiiiiiii! Mimi hata sihangaiki kuchapa mtoto wa mtu watoto wenyewe hawa afya mgogoroo!! Sitaki lawama za rejareja kabisaaa!!
Mi huwa nawapigisha magoti na kuwafinya masikioo na mashavuu ile njwiiiiiiiiii kidogo tu lakiniπ€£πππππππ
Mxxxxxxxiieewww!!
Nawewe weka Naked yako kwanzaa!!
Hivi umemshamsamilia Beverlyn kweli??? Ukamuungishe viatu vyako ma vya Yolly Yolly hukoo π Kwa sauti ya Jr