Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Nauliza tu[emoji23][emoji23]Sawa bhana
Ndo nn iyo😂😂kwanza mm sijasema Ivo itakuwa haikuwa akiliyanguNauliza tu
Kuna k oasis Cha ashki
Hadi uugue
Cheka Cheka syndrome?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nko poa shemeji sijui ww
Mimi napumuaNko poa shemeji sijui ww
vizuri sana . Kuwa na mtu moja ni uaminifuCna mchepozzz niko na m1 tyuuh.
Na kwako pia chiefUsiku mwema
Wewe usiwe kichaa kifala toa deiwaka shauri yako sophy27 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sisi tuliombali na mabby zetu tunatarajia kuwa vichaa soon tu [emoji23][emoji23][emoji23]ni mwendo wa kuchekacheka maofisini[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣Nani kasema!
sophy27 ni mali halali ya vidume vyenye misuli mikubwa, mie namuwezaje sasa🤣
🫡Asubuhi njema wadau
Asante nafurai pia kusikia hivo
Ushajichafua hapoo mfyuuu!! Kwanza ushamla mmama ulompa samaki??[emoji16][emoji23][emoji23]??? Jmos ndio leo [emoji16]
[emoji23] Alafu ukimkuta majukwaa mengine unaanza kumtongoza. Ulimtaka kakukataa, ukaenda kwa tins kakukataa ukaenda kwa lenie ukapigwa na kitu kizito saivi umeisusa kabisa selfika unakuja kwa kubeep beep unamvizia sijui nani [emoji23]
Huyo ana Cheti chake chenye lamination kabisa milembe nani amkubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16]!