Tuko kwenye Mwendokasi afu ni jioni kibus kimeshona hatari then unanikanyaga na hilo buti kwenye kidole lazima chozi linilenge
Si nimekukaribisha? Ukija utaikutaNigawie moja tuuu
Nishatuma mapic kibao huku sema yanakosaga uhaiMkuu we unachat tu humu,ebu tufanyie fair leo uchat na picha
Tuko kwenye Mwendokasi afu ni jioni kibus kimeshona hatari then unanikanyaga na hilo buti kwenye kidole lazima chozi linilenge
🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ ngoja nkazane aiseeeSi nimekukaribisha? Ukija utaikuta
Niko nakuchungulia njia utakayo tokea Mgagaa na Upwa haya long days ago🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ ngoja nkazane aiseee
Eeh sipati picha na kucha inavyouma asee, pole weeNakumbuka siku moja mtu alinikanyaga hadi kucha ilitoka namsukuma sijui hakuwa na hisia hata kujua kama ananiumiza,yale maumivu sitadahau halaf et jaman pole nlimwangalia nlijikuta nakosa hata la kusema
Kale kwanza bwana
Niko nakuchungulia njia utakayo tokea View attachment 1267457Mgagaa na Upwa haya long days ago
Niko nakuchungulia njia utakayo tokea View attachment 1267457Mgagaa na Upwa haya long days ago
Hapana picha tu hiyo nimeshiba[emoji23]
BadaeGeukia huku
Aamen... Mimi nimeota amefungua shamba la kufuga majoka[emoji848][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1267329
Raba zimekushibisha haya basi
Ni kweli eti....ukuje nakusubiri[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]woooooow jamani sema ukweli?? Daah amina kubwa sana dada!!
Nakuja pm ili unisimulie hiyo ndoto vizuri