Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana sio mad. Mad ni pale utakapoenda pm ukasokotwa vocha ya 50k ukaishia kufunga pm yako kabisaaa. Ogopa mremboo ambaye pm yake ipo wazi πŸ˜‚ hilo ni tegoo. Master kama unajiweza nenda ila usije rudi kuanzisha thread kule MMU!
Mazee mi ni mdeadly 🀣🀣🀣
 
aise unajikubali hadi raha .wengine hata vioo hatutaki kuviangalia.. Genius huyo ndo anafaidi mtoto wa kingoni.,
 
kuhusu chura fanya squats utapata la ushikaji na amaizing hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…