Lol umesevu yanini sasa mkuu haina hata maana ifute tu!!ππ€Hahaha achana nayo..
Sema nini nimesave kale ulipiga muda ule nje ya class kamenivuruga kweli kweli ..
Kwanini uko vizuri hivo?Lol umesevu yanini sasa mkuu ifute tu!![emoji41][emoji2960]
Unajua kazi ya jamaa AntonniaKwanini uko vizuri hivo?
Si useme mtandao gani, mbona unatunyanyasa*104*5682318136605#
*104*5652412736805#
*104*5742400472351#
104*5439201072651#
Kumbe nilikua nahangaika bure, kidogo wafunge line yangu πHalotel my dearest Lenie
Ahahaha wewe sinajua unatumia voda kesho zamu yako. Kila siku naweka vocha za mtandao mmoja π love.
Kesho uzipitishe basi mbagala kama vipiAhahaha wewe sinajua unatumia voda kesho zamu yako. Kila siku naweka vocha za mtandao mmoja π love.
Ulaku
Kupigwa jua ndiokufanyeje mkuu na kiduku mpapaso ??Madame
Kwamba unamaanisha hapigwi jua?
Unajua kunusa harufu ya vocha πUnitag
Aone nitakavyozifanya shaaaaaa
π€£π€£π€£Ulaku
Si ndio mkuuUnajua kunusa harufu ya vocha π
Hata Sio mimi huyo!!ππKwanini uko vizuri hivo?