Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈπŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈπŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈπŸ‘€πŸ‘€πŸ‘πŸ‹β€β™‚οΈπŸ‹β€β™‚οΈπŸ‹β€β™‚οΈ utakuwa shahidi mahakamani
Embu ngoja kwanza...🫣🫣🫣
Kwani hawezi kukaa tu mpaka amal9ze mojito yake aondoke?
 
πŸ₯°πŸ₯°πŸ€©πŸ˜ nimependa kuliko hii chini
images (1).jpeg
 
Asante sana mrembo Lizzy [emoji7]
Na mimi kinywaji changu ni hiyo mojito [emoji39]inanitosha kabisaaaa sina gharama
Wenye wivu wajinyonge[emoji38]
Nakuangalia tu

Unavyoingia bila hodi

Unagusa pasipogusika

Shauri yako

'Karibu' ushatanguliza ngoko zako

Wewe chunga


Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom