Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Hamna kitu live kabisa rangi Sasa looh itakuwa uliumbwa weekend siku ya mapumziko sie wengine Ilikuwa j Tatu ya pilikapilika 😂😂😂Mweh Asante diaa japo ni Kamera tu mdogo wangu!!
Hamna kitu live kabisa rangi Sasa looh itakuwa uliumbwa weekend siku ya mapumziko sie wengine Ilikuwa j Tatu ya pilikapilika 😂😂😂Mweh Asante diaa japo ni Kamera tu mdogo wangu!!
Hapo vizuree sana Ndugu mjumbe!!W end iko poa kabisa ndugu mjumbe
We pokea sifa bana kamera haziongopiMweh Asante diaa japo ni Kamera tu mdogo wangu!!
😂😂😂😂😂😂 Jumapili wapi lol!! Mtoto uko so hoootttt Mtoto mkareeeee mtoto decent stara ka zouteeeee ! Lipss hizooo jicho sasa! Bado vilivyofichwa na Hijap Auwiiiiiiiiii 🔥🔥🔥😍😍😍😍😍😍😘!!!Hamna kitu live kabisa rangi Sasa looh itakuwa uliumbwa weekend siku ya mapumziko sie wengine Ilikuwa j Tatu ya pilikapilika 😂😂😂
Santo sana mpendwaaa!😍😍!Nasubiria baraka zako nirare vizure Ndugu mjumbe nifanyie wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!We pokea sifa bana kamera haziongopi
Hamna kitu madam udongo udongo wa mwishonwisho huu wa jumatatu kuamkia j nne 😀😀😀😂😂😂😂😂😂 Jumapili wapi lol!! Mtoto uko so hoootttt Mtoto mkareeeee mtoto decent stara ka zouteeeee ! Lipss hizooo jicho sasa! Bado vilivyofichwa na Hijap Auwiiiiiiiiii 🔥🔥🔥😍😍😍😍😍😍😘!!!
Ndugu mjumbe wewe unarangi mtume ujueSanto sana mpendwaaa!!Nasubiria baraka zako nirare vizure Ndugu mjumbe nifanyie wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Waooohhh what a smile auweeeeehhh!!😍😍😍😍!!Ndugu mjumbe kwa heshima yako View attachment 2481288
Sema Babu mkali na hasemi nashukuDooh kumbe mkaka mkali hivi na husemi![]()




😂😂😂😂😂Sema wewe madammm... Mkaka nukseee noumaaa sanaa aseeeh!!😍😍😍!Kiduku weee niDooh kumbe mkaka mkali hivi na husemi 😂
Hapo wajukuu walikua wanamchekesha babu yaoWaooohhh what a smile auweeeeehhh!!!!
Tabasamu la kumtoa nyoka pangoni jamani jamani!!
cocastic hili tabasamu sio poaaaaa ni motrooo faiyaaaaa!




Mjumbe kamera hizoSema wewe madammm... Mkaka nukseee noumaaa sanaa aseeeh!!
!Kiduku weee ni
Mkareeee![]()



Wababu wa humu mambo yenu sio madogo walaiiiii!! Mko vizure hadi raha jamani!!Sema Babu mkali na hasemi nashuku![]()
Naona naonaaa na ukacheka vizuri hadi wakafurahi na nafsi zao!!Hapo wajukuu walikua wanamchekesha babu yao![]()
Weeee Kamera hazidanganyiiii mjumbeee!! imejua kukutoa mmmuahhh👌👌👌😍Mjumbe kamera hizo![]()
Nawe ubarikiwe tuachie na wewe kamojaNaona naonaaa na ukacheka vizuri hadi wakafurahi na nafsi zao!!
Hakika usiku Wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!!
Wabheja sana babu
Umeona ndugu mjumbeWababu wa humu mambo yenu sio madogo walaiiiii!! Mko vizure hadi raha jamani!!
Hakika Selfika tumebarikiwaaa Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeeehhh!
Nishawabless hapo Mjumbe hujaiona lol! Ngoja nicheki kwa gallery hapa Usipepese hata kopeeeeNawe ubarikiwe tuachie na wewe kamoja
Umepotea best!Miss you wapendwaaaa😘😘😘😘 Naona weekend imeshika hatamu! Bantu Lady cocastic sophy27 Tinsley Poker kichaa mwenye cheti chake milembe a.k a. baba Yolly Carrasco putin sumbai National Anthem Wigelekelo ERoni Lovelovie Poor Brain kiduku mpapaso kitalembwa myoyambendi Jack Palladino et al
Enjoy your weekend guysssss ✌️✌️✌️✌️
Nimeona nimeonaaa Mjumbe! Selfika ina visuuuu👌👌👌 na majembeeee💪💪🔥Umeona ndugu mjumbe