Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Niko hapa πππππππ utaumwa presha shoga. Mzoee tu huyo Msukuma pori. Ila hujui wasukuma na wanawake weupe ni kama nini sijui. Enjoy ur weekend sweetheart πππAti?
Umeanza eehπNiko hapa πππππππ utaumwa presha shoga. Mzoee tu huyo Msukuma pori. Ila hujui wasukuma na wanawake weupe ni kama nini sijui. Enjoy ur weekend sweetheart πππ
Huoni nampa moyo, nikuache mimi halafu nianze mimi? πππππUmeanza eehπ
Nitakurudia shauri yako!Huoni nampa moyo, nikuache mimi halafu nianze mimi? πππππ
Unaona raha eeh? ππππππ
Niache miye, mwenzako niko kumtongoza mkaka humu. Utanisaidia akubali?Nitakurudia shauri yako!
Ukihitaji msaada nipo!Niache miye, mwenzako niko kumtongoza mkaka humu. Utanisaidia akubali?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hivi unanisikiliza mimi? Akili zangu nazijua mwenyewe. Sina hata wa kumtongoza, rafiki yangu.Ukihitaji msaada nipo!
Rudi kule!π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hivi unanisikiliza mimi? Akili zangu nazijua mwenyewe. Sina hata wa kumtongoza, rafiki yangu.
Nipigieni Huyo mtu! Mimi nawasubiri next week Emirates niwakande tu;Nasubiri Manchester derby....GGMU[emoji3590]View attachment 2480823
Tunapiga wote including gunners!Nipigieni Huyo mtu! Mimi nawasubiri next week Emirates niwakande tu;
Huu kileleni baridi limekuwa kali sana
Nasubiri Manchester derby....GGMU[emoji3590]View attachment 2480823
I am happy to know that...πTupo pamoja Man U
Maana leo mna match mbiliTunapiga wote including gunners!
Leo tunashinda agaist all odds!Maana leo mna match mbili
Vs Haaland and vs man city.
haha tukutane jioni hapa kijuweni
Sema leo tupo pamoja!Leo tunashinda agaist all odds!
Weka ile selfie yetu basiπ
Everything i see is good...π