Hio stage sikuiruka kabisa aiseee utoto Mimi nimekulia maporini huko huko miembe mikwaju mabibo/ korosho zambarauuu mapera Alooooooohh utoto nimekwea sana miti!!Inatakiwa ukumbukie enzi za msingi ukifata maembe juu mti
Ili ukapinduane guest vizuri mfyuuu🤣🤣🤣😂!Nibless basi Dimpoz zako mapinduzi yangu yawe vizur
Hata mimi nilikuwa nahangaika kupandisha picha inagoma nikasema pengine nimelimwa ban ya kutopandisha picha....Ni kweli zinagoma
Nitake radhi ww binti 😂😂😂😂toka nizaliwe sijawahi enda hukoIli ukapinduane guest vizuri mfyuuu🤣🤣🤣😂!
Picha zinagoma leoNibless basi Dimpoz zako mapinduzi yangu yawe vizur
Picha zinagoma leo
Lakini unadeni letu la pichaMuwe na wakati mwema wapendwa [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Muwe na wakati mwema wapendwa [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Hapana msukuma ni Jamiiforums wenyewe sijui tatizo nini!Hata mimi nilikuwa nahangaika kupandisha picha inagoma nikasema pengine nimelimwa ban ya kutopandisha picha....
Kumbe ni tatizo la wote....
Network ikikaa vizuri msijareeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!Lakini unadeni letu la picha
Karibu shamba kumekuchaNetwork ikikaa vizuri msijareeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Nikiikosa unalo kama Bantu Lady janaNetwork ikikaa vizuri msijareeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Jaribu ku update app inaweza kukubaliLabda wamejaza quarters zao kwenye server za Tapatalk inabidi walipie. Ngoja tuwasubiri!
Mxxxxxxxiieewww!!Niage vizur bathi ww binti
Mxxxxxxxiieewww!!
We umefanya hivyo ikakubali?Jaribu ku update app inaweza kukubali
Ndio si umeona hapo nimetuma hio pichaWe umefanya hivyo ikakubali?
Imeshakubali BL. Pandisha sasa hv ndo uondokeNetwork ikikaa vizuri msijareeee [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Wamesharekebisha tayari. Kila mahali kunafanya kaziNdio si umeona hapo nimetuma hio picha