Utakuwa mwanaume wenye bahati sana best. Maana mtoto mlito si kitoto..
Wanaommezea wengi ila mwenye bahati niwewe pekee.. mtunze mrembo wangu. Watoto wazuri wa hivi kuwapata, ni bahati kama ya leo tu na haiji mara mbili
ERoni
Ila miye mgomvi, kuna mtu km nilitaka kumtag 💃💃💃💃😂😂😂😂😂