Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Selfika kwanzaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe muongozo mzee tuanze kusaga kunguni kuanzia upande upi?
Mimi nakujulia wapi? Wee niletee hizo shombo miye ndiyo ndimu mkata shombo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Bora nilikupiga chini utakuwa mzaramo wa mafiga 3
Jack Palladino msome mkeo
ERoni kuna chakula huku mkuuπ€£
Nimemsoma nikamuelewa yaan simuachi!π€£Bora nilikupiga chini utakuwa mzaramo wa mafiga 3
Jack Palladino msome mkeo
ERoni kuna chakula huku mkuuπ€£
Huyu Bantu Lady lilikuwa koloni langu likanishinda.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe muongozo mzee tuanze kusaga kunguni kuanzia upande upi?
Hivi kaka unaongea namimi? Ama umenifananisha?Tabia yako ya ukicheche ilinishinda ndio maana nilikufungia nje matokeo yake umenitangaza kila kona...utatulia lini?
Huna maana wewe kalio lakoπ€£π€£π€£π€£Mimi nakujulia wapi? Wee niletee hizo shombo miye ndiyo ndimu mkata shombo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hivi unaitwa nani vile? ππππ
Fanya maombiπ€£My babe Bantu Lady vita ni kubwa!π
Vijana mpo vizuri kwa kuzusha mambo!πHuyu Bantu Lady lilikuwa koloni langu likanishinda.
Jack Palladino akadai haina mako....
Akadaka
Sasa anakutaka wewe sumbai pambana nayeπ€£
Mtoto kanielewa situmii nguvi sana mkuu!Fanya maombiπ€£
Pambana na mtani wakoπ€£Eeh selfika hebu
Ebu mkamate huyo waache kunisumbua na babe wangu Bantu LadyEeh selfika hebu