Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,, nimekumbuka kuna kaka nilisoma naye darasa moja alikuwa na mwandiko mbaya jamani yaani waalimu waliongea hadi wakanyanyua mikono na siyo kwamba eti tulikuwa wadogo hapo tulikuwa form five..

Mie mwandiko wangu ni mzuri lakini mkubwa sana yaani hadi kuna mwalimu aliwahi kuniuliza eti "hivi hadi kwenye necta utaenda kuandika mwandiko huo huo hebu punguza bwana" ila ndiyo sijawahi kuupunguza hadi leo nilishashindwa mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…