Uhair ππ
Tramuuu sanaaaa!December tamu hii
acha watu waenjoy ..
Thank you beautiful sisMamaa Lipssss ππππ So Beautiful ππππ!
Umenougaaaaππ
enjoyini tu nyieTramuuu sanaaaa!
Full burudaaaanneee ππ
Wee sema kweli??? Kwanini ndefu?? Kwahio sie tunaonyoa ndio mnataka kusemaje lakini???ππππ
ndo twaubembeleza jana Anne kanipa ushauri kuwa men wanapenda ke wenye nywele ndefu .
kwani ushanyoa ?Wee sema kweli??? Kwanini ndefu?? Kwahio sie tunaonyoa ndio mnataka kusemaje lakini???ππ
π Nimepita sehemu nimekuta watu wanalalama we ni ME! Nimecheka sana ulifanyaje mpaka ukashukiwa kuwa dume kaka wa Carrasco putin na Wigelekelo πPoker we ngumbalu bora ulivyobadili Hilo jina
Hahahaaππ
ndo twaubembeleza jana Anne kanipa ushauri kuwa men wanapenda ke wenye nywele ndefu .
Wa usafi πππ
ππππππAcha tu..yule mwamba alinifananisha na yule ticha wa uyole kua ni me and him/her ni mtu mmoja nahisi sababu yule ticha Kuna muda anacomment kiumeπ€£π€£π Nimepita sehemu nimekuta watu wanalalama we ni ME! Nimecheka sana ulifanyaje mpaka ukashukiwa kuwa dume kaka wa Carrasco putin na Wigelekelo π
Ooh yeahHahahaa
Inategemea ntu na ntu
Kama huyu kijana wangu anapenda upara
Nakwambiaaaa em anza kupack kabisa kibegiNiamke saa 1 holiday itakuwa ina maana gani?
Piga mishe mishe hapo tule Mwaka mpya Mbudya π€£π€£π€£
Hapana sijanyoa!kwani ushanyoa ?
aiseee itabidi tufanye ka research lol .. tuwe na uhakika
Ndio π€£ mods wanoko sanaWa usafi πππ