Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Hata sijui ni NiniNimetumia Audiomack
Apple music
Now: spotify
Aloooo, spotify is the best [emoji7]
National Anthem
Ashukuriwe Lee Big Boss [emoji2223][emoji91] Lenie
πππ Shangazi mwenyewe huyoNipo mpenzi...
Natumaini uko poa kabisa
Miss u[emoji8]
MlebanonBiurifoo[emoji7]
Shape iko mahala pake madam[emoji108]
[emoji108][emoji108][emoji108] Shangazi mwenyewe huyo
Miss you zaidi shangazi. Karibu tenaMjomba salama?
Umemisika ...
goja nikupenyezee moya kule ππMjomba salama?
Umemisika ...
Miss you zaidi shangazi. Karibu tena
goja nikupenyezee moya kule [emoji4][emoji4]
Ukifua huumii? ππ najaribu kuwaza sipati picha dada mkwe πBasi una kucha nzuri, me saivi ndio najitahidi kufuga nisibandike
Hii ya last timeView attachment 2448085
Whatever it will be.. π€ΈββοΈπ₯
Hii mijamaa ya real Madrid ni miroboti[emoji23]Akiingia yule watakufa mapema [emoji23] kabla hata matuta
Namkubali sana KB
Hata uefa wakikutanaga na Chesii
Nawakimbia Chesii, nahamia R.madrid [emoji91][emoji91]
Ni vile tuBasi una kucha nzuri, me saivi ndio najitahidi kufuga nisibandike
Hii ya last timeView attachment 2448085
KweliNipo mpenzi...
Natumaini uko poa kabisa
Miss u[emoji8]
Kweli
Ufaransa huenda wakatwaa taji
Hali yako shangazi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kufua Nini?Ukifua huumii? [emoji23][emoji23] najaribu kuwaza sipati picha dada mkwe [emoji7]
Napumua shangaziMjomba Nashukuru Mungu niko poa
Sijui wewe?
Unaniachaje we mama yake na Poker fanya nipate ya kuogea na kulalia.. usiwe na roho ya kwatu π π π πGoodnight vipenzi πβ€οΈ
Sifuagi, nafuliwa na kaka akoππUkifua huumii? ππ najaribu kuwaza sipati picha dada mkwe π