Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Baba Mtumishi ameongeza matunzo,soon nitaanza kunenepa.Lol umenougaaa balaa Kiuno nyiguuuuuu ππππ!
Shepuu shepuuuu hips hipss chuchu saa 4 kasoro asubuhi lol Baba mchungaji anafauduuu β₯οΈβ₯οΈβ₯οΈπ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpambano utakua hatare sanaaa Kirikou vs Mbappenyo lol si ya kukosa hio!!J2
Ndo wale Virikou wanaenda kusaga meno
Ndoo ya machozi iwe tu karibu maana wataleta mafuriko kwenye ardhi ya Mola.
Jiachieeee kwaraha zakoo! Kama anatunza hapooooo shikilia Usiachieee [emoji108][emoji108]Baba Mtumishi ameongeza matunzo,soon nitaanza kunenepa.
Napiga chini diet.
Virikou hawana nafasi kwenye ulimwengu wa Mpira.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpambano utakua hatare sanaaa Kirikou vs Mbappenyo lol si ya kukosa hio!!
Sema naogopa kitambi[emoji23][emoji23]Jiachieeee kwaraha zakoo! Kama anatunza hapooooo shikilia Usiachieee [emoji108][emoji108]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]!Virikou hawana nafasi kwenye ulimwengu wa Mpira.
Wakapambane kuongeza urefu kwanza.
Vitoto vifupi mwishowe vidondoshe kombe letu.
Sisi Ufaransa ni mabingwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1073]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mie kimepungua sikuhizi nakula kwa stepp nimekua kimodooo[emoji16]!!
Tubadilishane [emoji4]Mie kimepungua sikuhizi nakula kwa stepp nimekua kimodooo[emoji16]!!
J2 ngoja ifike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]!
Nakwambia sikuhizi mboga za majani matunda na majii kwa Wingi chakula kidogooo
Shepu kama looote[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Usiku mwema wapendwa
Mlale unonooo [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Saint Anne
π watajua hawajui hiyo Jplπ
Hii ni operation tokomeza virikou
Nyonyoma Mbappigwe π₯π₯π¨π΅π¨π΅π¨π΅π¨π΅
Anza sasa na fastingNakwambia sikuhizi mboga za majani matunda na majii kwa Wingi chakula kidogooo
Bado kuna tetesi Mufti Ostaz Benzema anatimba ndani[emoji23] watajua hawajui hiyo Jpl
#Dylie Giroud Mbappe Le Dembele [emoji2223][emoji91]
Kufunga ndio nilifeli aseee nikifunga tu utashangaa masaa mawili mengi nahisi njaaaaaaaa au ndio shetani kaziniππ
HujafeliKufunga ndio nilifeli aseee masaa mawili mengi njaaaaaaaa[emoji16][emoji16]
Akiingia yule watakufa mapema π kabla hata matutaBado kuna tetesi Mufti Ostaz Benzema anatimba ndani
Kuna watu tuwaweke kwenye maombi, wasije jinyonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ulilala