Selfika na JF: Snap it. Show it

Afu nimekumic chibongeee, [emoji8][emoji8][emoji8]
Jana nilikua magu hostel nje, sasa ikaja alphard 1 nyeupe akashuka mdada bonge alivaa kipusa cha jeans, yaan nilihis ni wee.

Alikuja kumuona ndugu yake paleee.
Wacha basi😀😀😀sasa si ungenishika hata bega darling..umeyumba pakubwa mno🤣🤣🤣

Magu nilikuwa kama wiki mbili zilizopita my love.sikuwa mimi😃
 
Wacha basi[emoji3][emoji3][emoji3]sasa si ungenishika hata bega darling..umeyumba pakubwa mno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Magu nilikuwa kama wiki mbili zilizopita my love.sikuwa mimi[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliogopaa wee, aseeeeh ukija tenaa unitext bhana dear.
 
Afu nimekumic chibongeee, [emoji8][emoji8][emoji8]
Jana nilikua magu hostel nje, sasa ikaja alphard 1 nyeupe akashuka mdada bonge alivaa kipusa cha jeans, yaan nilihis ni wee.

Alikuja kumuona ndugu yake paleee.
Nje ya geti huwa napaki boda hapo. Uwe unaniungisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…