ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,139
- 17,612
Hata sisi wanywaji hatujui kwanini.Ivi Mshana naomba kuuliza, ni kwa nini hizi bapa lazima zilazwe kama hapo kwenye picha maana sijawah ona watu wanakunywa zikiwa wima naomba nitoe ushamba.
Hata sisi wanywaji hatujui kwanini.
Kama mila hivi. Unaifuata tu.
Ila kwa kuangalia logic, kuilaza ile chupa kunaipa stability/equilibrium kubwa zaidi kuliko kuisimamisha kutokana na muundo wa chupa yenyewe. Kwahiyo hata meza ikitingishwa / kugongwa chupa haidondoki / kumwagika.Duh!!
Ivi Mshana naomba kuuliza, ni kwa nini hizi bapa lazima zilazwe kama hapo kwenye picha maana sijawah ona watu wanakunywa zikiwa wima naomba nitoe ushamba.
Ndo maana yake kumbe [emoji3] haya nimekuelewaUshasema bapa na bapa ni kama vile panga
Hapana.Ila kwa kuangalia logic, kuilaza ile chupa kunaipa stability/equilibrium kubwa zaidi kuliko kuisimamisha kutokana na muundo wa chupa yenyewe. Kwahiyo hata meza ikitingishwa / kugongwa chupa haidondoki / kumwagika.
Chupa za bia huwezi kuzilaza kwasababu ya muundo wake wa duara kama pipa. Itabiringita. Na ujazo wake hua sio mkubwa sana kama jibapa so stability sio mbaya sana pia. Ila ukisimamisha jibapa nwenyewe utaona tu risk yake utalishusha
Nmekuelewa, thanksIla kwa kuangalia logic, kuilaza ile chupa kunaipa stability/equilibrium kubwa zaidi kuliko kuisimamisha kutokana na muundo wa chupa yenyewe. Kwahiyo hata meza ikitingishwa / kugongwa chupa haidondoki / kumwagika.
Chupa za bia huwezi kuzilaza kwasababu ya muundo wake wa duara kama pipa. Itabiringita. Na ujazo wake hua sio mkubwa sana kama jibapa so stability sio mbaya sana pia. Ila ukisimamisha jibapa nwenyewe utaona tu risk yake utalishusha
Hapana.
Zinalazwa ili kumsaidia yule jamaa alieinua mikono na kutunisha kupumzika. Walevi wanajali sana
Hiyo ndio sababu ya kimila sasa.Hapana.
Zinalazwa ili kumsaidia yule jamaa alieinua mikono na kutunisha kupumzika. Walevi wanajali sana
Hapo buku 2 unapata supu utumbo nzitoo...ongeza mia 8 upate na ndizi mbili zakuchemsha
Ivi Mshana naomba kuuliza, ni kwa nini hizi bapa lazima zilazwe kama hapo kwenye picha maana sijawah ona watu wanakunywa zikiwa wima naomba nitoe ushamba.