Maneno matatu lakini yanaweza kumtoa nyoka pangoni,,,,
Imagine kidume kipindi Cha baradi huelewi, unamcheki manzi ako kutaka kampani yake anakujibu hivyo,,,, huwa tunawehuka,,,, au utasikia ka-message kanaingia "me sijui wewe"""" kibaba hapo chap unajiongeza