Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlioahidiwa mtaolewa na mlioahidi kuoa mwaka huu nawakumbusha zimebaki siku 30[emoji23][emoji23]

Happy new month
Asante kwa kutukumbusha mpwa. Mi na mama E ndo tupo tunachacharika hapa kabla mwaka haujaisha. Na Bosi Ledi ndiyo anaratibu mipango yote. Inshallah jiandae kula pilau la ukweli mpwa kabla mwaka haujaisha! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hongera mpwa Nawatakia maandaliz mema na Mungu awabariki sana mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…