Aunt selfikaNipo madam mambo vip
Kama IHEFU sio[emoji848]
Imenichomaaaaa!!! Ahsanteeeee babuuuh.Watu mitandaoni hawatakwambia kuwa wazazi wao wanawasaidia kulipa kodi,ndugu zao wanawasaidia kupata pesa za mtaji na kuanzisha biashara zao na hawatakwambia kuwa wana wababa wanaowatumia pesa kila mwezi kwaajili ya manunuzi ili wale,wavae wapendeze na waende sehemu mbalimbali.
Hawatakwambia kuwa wana ndugu na jamaa zao serikalini wanaowapa madeal na kuwaunganisha kazi.
Usichanganywe na maisha ya watu, usiumizwe na usivyojua vyanzo vyake.
USISHINDANE NA USIJIRINGANISHE
Kutoka Twitter
Ahaaa nafurahi kukuona!!Nipo madam mambo vip
Kwema mamaa!! Miss youKwema humu?
Miss you too kipenziKwema mamaa!! Miss you
Nakwako pia Mrembo!!Siku njema wapendwa.
Izoizo za Zamani jamani fanya hivo mamaa!!Sina jipya kipenzi
Upo mama nitupie??Izoizo za Zamani jamani fanya hivo mamaa!!
TupiaUpo mama nitupie??
Basi msiowe jamani kwani lazima😒😒😒