Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,385
kaJunia kameharibu simu.Nimemiss selfie Yako mama Junia
Imeharibika vipi ankaJunia kameharibu simu.
Hapa nawaza sijui napata wapi contacts za watu na sikusave kwenye email.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
H,,bathday#birthday mood
Nasubiria zawadi jamani πView attachment 2427037ππ
Aina gani...?
Mbona inawezkana tuu si shida namba
hbd madame#birthday mood
Nasubiria zawadi jamani [emoji512]View attachment 2427037[emoji41][emoji16]
Pozi za kichokozi kabisa hizi π€£π€£π€£ kwa pozi hili unaachaje kula tope mwanawane π€ππ π π Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
Mods wakae kwa kutulia jamani vitu vitamu kama hiviπ π π Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
Hebu Poor Brain tupia neno hapo π€£π€£π€£π π π Zipo nyingi ila mod hawachelewi kunitwisha mzigo wa miba kama kule.. Umeona shanga hiyo, alafu mtoto ka bendView attachment 2426737View attachment 2426738
π€£π€£π€£π€£π€£ Aiseeee
π π π π π Leo weekend mwanawane.. acha nisogee mji wenye milima kuangaza angaza
Wapiii hiyooo... Leo una vibeee ka lote nakuona tuuuu mwanawaneπ π π π π Leo weekend mwanawane.. acha nisogee mji wenye milima kuangaza angaza
Jua hili linalipwa overtime sijui, maana liko serious na kazi balaa
Punguza dhambi.. Mbona huku kwingine fresh tu..
Acha wanesenese banaaa π π πWametukimbia kabisa an hawataki utani aiseeee
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Malaika wa zamu kitengo cha kuwasha jua... πππππππ:::Huku dodoma ndo hapashikiki