Umependeza sana!! Umenougaaa!!Hiyo nimephotoa now. Atayeniona jmn asinishitueee[emoji1][emoji1]
Nimeona dear mimeona!! Uko so hooooooootttttt ๐ฅ๐ฅ!!Teyari kipenzi. Angalia chap chap. Kabla sijafutaa
Thantee dear[emoji8]Umependeza sana!! Umenougaaa!!
ClassAntonnia Saint Anne Sina deni Tena Mimi. Samahanini sana niliwawekesha Ile siku. Mambo yalikuwa mengi.View attachment 2424762View attachment 2424774
ThanksClass
Asante mama juniaAuntie unajua kutupia pamba kali [emoji91]
Thank youBeautiful lady
Asante dearNimependa hizo lips [emoji8]
๐๐Nani huyoShavuuuu dodoo lipssssss lipss!!๐๐๐๐!! Akija lazima urudie!!!!
Umependeza madamee
Ukifuta coca akija!!!๐๐Nani huyo
Hapo kwenye mlenda sijui kama utaweza ๐Kitu ambacho nita shindwa kutumia fork & knife basi ni mlenda๐๐na wenyewe ninauhesabia siku tu ninaweza kupita nao usiamini ๐๐
Mimi nitatumia mkasi ๐๐na siku nikilifanikisha nitatuma video clip humu ndani Kwa ajili yako uone nitakavyopambana๐Hapo kwenye mlenda sijui kama utaweza ๐
Kuna rafiki yangu mmoja Mzungu nilimfundisha kula Ugali na Mlenda, Sasa Ile kwenye kuvutika si akaomba Kisu awe anakatia ๐๐.
Na imagine utakavyokuwa unafanya wewe pia ๐
Ukuje huku....Na pacha wako Tinsley Naomba mnipe samare kwanzaa nasikia natakiwa kutetea mtu hapo!!
Samaleko wapendwa!!
Jr anamsumbua