Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
ππππππ Wa seminali huyooooπ€£π€£π€£ vizuri sana.. sana na mi tajitahidiNaisikiliza za Mungu tu .
nyingine hizo hapana
UtajijuDaah nimeachwa[emoji28]
ππππππ Wa seminali huyooooπ€£π€£π€£ vizuri sana.. sana na mi tajitahidi
mama mzaa chema alizaa aise.likewise π
Thank you ππΏππΏmama mzaa chema alizaa aise.
you have a such nice smile.
Ukinuna nikama umetabasamu
Na ukitabasamu ndo umetabasamu.
""Ukinuna ka umetabasamu na ukitabasamu ndo umetabasamu hivooo""" πππ₯±π₯±ππ natafsiri maneno ya ππππππThank you ππΏππΏ
umejuaje napenda kusmile π€£π€£
siwezi ficha kusmile .
wewe kama unanijua hivi π€£π€£π€£Aaaaah hongera yako.... Ka upogo hivo πππππππ ukiwa umeamua mbona unakua mpole hadi raha tena mwenye utulivu.... Ila sasa sometimes π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kwisha habari yanguπ₯ΊUtajiju
Ndoismile sioππππmama mzaa chema alizaa aise.
you have a such nice smile.
Ukinuna nikama umetabasamu
Na ukitabasamu ndo umetabasamu.
Nipe tafsiri Kaka""Ukinuna ka umetabasamu na ukitabasamu ndo umetabasamu hivooo""" πππ₯±π₯±ππ natafsiri maneno ya ππππππ
Nakujua nakuju π€£π€£π€£π€£ an A to Q sasa hv tafika A to Z hapo takusumbua wewe hadi basiiπ€£π€£π€£wewe kama unanijua hivi π€£π€£π€£
nikinuna nanuba balaa labda nisiwe nimekasirika.
Nimetafsili maneno ya kapachino juu hapo.....πππNipe tafsiri Kaka
mmh umenijuaje alooh π€£π€£π€£Nakujua nakuju π€£π€£π€£π€£ an A to Q sasa hv tafika A to Z hapo takusumbua wewe hadi basiiπ€£π€£π€£
nimezoom nikaona babyface ya bashasha.Thank you ππΏππΏ
umejuaje napenda kusmile π€£π€£
siwezi ficha kusmile .
OkayNimetafsili maneno ya kapachino juu hapo.....πππ
Sio sananimezoom nikaona babyface ya bashasha.
Ninyi hata mkikasirika sura bado zinakuwa na nuru.
Kimbilio lenu ni kujifungia peke yenu na kulia.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Basi tuu siri yangu.... Tunasema nimekujua kwa njia ya electromagnetic radiation π₯±π₯±π₯±π₯±π€π€π€mmh umenijuaje alooh π€£π€£π€£
nipe maelezo
Haha bila shakaNdoismile sioππππ
mmhh niambie bhanaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Basi tuu siri yangu.... Tunasema nimekujua kwa njia ya electromagnetic radiation π₯±π₯±π₯±π₯±π€π€π€