Weeee Iran yako hioo usitutanieeee 😄😄Kwanza kuna kitu hapa hakipo sawa hvi mnakuaje wote mpo timu moja mda huu🤣🤣🤣🤣 lazima mmja wenu akubali yee ndo kachezea hapo🤣🤣😜😜😜 nikiwa kama refaa nasema hvi hyo team iliyopigwa mda huu ni ya ...!!!!!!?🤣🤣🤣🤣
💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃weuwe England goal la 6
Ah wametisha kwa kweli 😍😍😍T tayariiiii🤸🤸💃💃💃💃💃
Umeona eeehhh!!Hahaha kweli
anatuchora tu hapa
wameongeza dakika kumi .Umeona eeehhh!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Mna shida nyieHahhaa this is football
and we love it 😍😍
utuwache 🤣🤣🤣.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Mna shida nyie
Wala siegemei ngoja tutaona.. na atakaye fungwa hapo..🤣🤣🤣🤣 sijui itakuaje leo🙌🙌Usiegemee upandeee najua T atanichakazajee walai !!
Unashabikia magoli wewe.. sasa nishakubananiza tutaona badae🤣🤣🤣utuwache 🤣🤣🤣.
nikae na nashabikia team moja ndo nini .l🤣🤣
Hahha mie na boss lady tenaWala siegemei ngoja tutaona.. na atakaye fungwa hapo..🤣🤣🤣🤣 sijui itakuaje leo🙌🙌
Mi refaa niache kwanza au unataka kunipa rushwa🤣🤣🤣🤣😜😜😜team senegal forever
wewe taja team gani ?
Hahhaa na haunipatiUnashabikia magoli wewe.. sasa nishakubananiza tutaona badae🤣🤣🤣
Sina hela ya kukupa rushwa 🤣🤣Mi refaa niache kwanza au unataka kunipa rushwa🤣🤣🤣🤣😜😜😜
🤣🤣🤣😜😜 Sawa ila tutaona sasa kaa kutakua na ""dear tumeongeza la pili""Hahha mie na boss lady tena
akifungwa mmoja tunapeana pole ..hatuna noma 😂 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kanajiamini....etSina hela ya kukupa rushwa 🤣🤣
muda utaamua
Kujiamini muhimu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kanajiamini....et