Wengi wenye majina mazuri hata kimuonekano wako wazuri. Hii njia unaweza kuitumia kwa hawa wasiotumia ID halisi...akikutajia jina lake tu, unaweza kujua kama ni kifaa au blablaa. Majina yenyewe ni kama; Grace,Angel, Jackline, Vaileth, Marry n.k (Vifaa) na... Sada, Shida, Chausiku, mwajuma n.k...