Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,790
- 58,402
ππππBaaadae Selfika
muwe na siku njema .
Hamna kitu ka hicho yaan tukio moja uwe stronger kweliπ€£π€£π€£π€£Anifatilie nn ππ
Me atapotea
Me tukio 1 limenipa u strongest balaa
Sahivi nimekomaa mpk nimekoma mwenyewe ππππ
YesssHamna kitu ka hicho yaan tukio moja uwe stronger kweliπ€£π€£π€£π€£
Thubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!π€£π€£π€£ Tupe na yako au wee ndo strong-stronger-strongestπ
Mkuu hicho kitobo hapo kwa mfuko huwa na kazi gani..π
Kumbe na wee bado kabisa.. matukio tanakuwaga 3 na kuendelea wee.. umejiamulia tuu ila natural bado subiei sasaππYesss
Ni kama tu field work inavyoongezwa kwenye working experience
Weeeeehhh!! Hebu niendelee kusoma koments tu mie!!Tuachie sisi wakongwe na wazoefu wa haya mambo π€£π€£
Boya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiiiππππThubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!
Si nimejizima data mdudu π€£π€£πππ uzuri ni kwamba you know each and everything ,,sasa hapo mdudu nakusaidiaje π€£π€£π€£
Mnoooooo!! Kumbe Wanijua vizuri!! Santo sana!! πBoya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiiiππππ
π€Έπ€Έ kama kawaidaaaaSi nimejizima data mdudu π€£π€£
Kakake acha tu, nimekua tu mpoleUnakubalije atekwe kizembe[emoji848]
Hahahahahaaaπ€Έπ€Έ kama kawaidaaaa
Niko tu hapo nasubiria kupigwa tukio la 2&3?Kumbe na wee bado kabisa.. matukio tanakuwaga 3 na kuendelea wee.. umejiamulia tuu ila natural bado subiei sasaππ
??It depend wewe...[emoji2]
Boya afu muoga na machozi yapo karibu an hatariii hatariiiiππππThubutuuu! Mi mwenyewe boya tu!!
π€£Zinatosha savanna ngapiShauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177