Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Matamu hayoUdenda umenitoka jaman
ukirudi ukayapike
Matamu hayoUdenda umenitoka jaman
Njoo unipikieMatamu hayo
ukirudi ukayapike
My babies' papaa!!Na ww pipi ya kijiti utapewa na nani![]()
Tena kwa sie tulioko kwa "midlife crisis" nikipata kitu ya namna hii nasahau kidogo matatizo yangu kwa mda🤣Vinafaa mno kulumangia
Nifate nije kupikieNjoo unipikie
😂😂😂ShemejiSitak upate tabu shemeji yangu![]()
We miss u too😉Jamani Saint Anne na Jack Palladino mewamiss
Naota 🙄🙄 huyo alishanitupa kwenye ule uzi wake wa kushindwa ku move onTulips tuzuri jaman kweli National Anthem anafaidi
Abee mume
Mwenzangu Saint Anne njoo
Tulia kwanza😂😂😂
Nitairudia badae usijaliDah ushaifuta jmn 😥😥
Ahaa kausha basi😅Mwenzangu Saint Anne njoo
Naishukuruje Simu Yangu kuna mida picha hata ikifutwa nikiclick naiona mida mingine sizioni ivoivo!!Nitairudia badae usijali
Ah nihonge kwanzaAhaa kausha basi![]()

😅😅😅Ah nihonge kwanza![]()