Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha nimeona hyo..kumbe ni kakaMimi lilivyoona nilizima simu,nikatoa betri,nikavunja laini,nikanywa pombe kwa hasira,nikalala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni kaka,ngoja niamke sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaká wapi tunaongea kwa code we endelea kuzima simu na kunywa pombe tu dada katekwa na mahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…