Najua aisee tena nina visa huyoHadi wewe kumbe unajua kuongeaπ
ππ najizuiaga sana kufanya madhambi jumapili, hata kusema uongo najikwepeaKwani baada ya ibada si ndio πππ
Sijapenta πππSi mnapenda kutunga story msizozijua π sasa za moto na ukweli mtazipata saa ngapi
Heeeπ€£π€£π€£π€£Najua aisee tena nina visa huyo
I'm a bit cold hearted
Tekno wereva wapii wakati una kitu konki Aifon !! Niliweka mbonaHapana shangazi sijaona mbona, πππ hizi tekno wereva hazileti notification
πππ jumapili yana nogaaa kinoma kama hujuiππ najizuiaga sana kufanya madhambi jumapili, hata kusema uongo najikwepea
Nimecheka πππIla kweli, wengine tupo kama pimbi, u akaribia kupata mala ghaflaaa mvuuuu unapaisha π€£π€£
Kweli sina zari na wewe dahπ₯²π₯² aifoni maifutiTekno wereva wapii wakati una kitu konki Aifon !! Niliweka mbona
Kwendraaaaπππ jumapili yana nogaaa kinoma kama hujui
Ni mpambe mie ππHeeeπ€£π€£π€£π€£
Huendani
ππ na ikawaje tukarudi tena hata kuongea .. maana una matusi wewe ya ki Arusha .. alafu una ni block π€£π€£π€£Nimecheka πππ
Sema bado nakumbuka ile siku uliyonisema π₯²
Nitakuwekea badae mjomba nipike kwanza!!Kweli sina zari na wewe dahπ₯²π₯² aifoni maifuti
Njooo twendreee wote π€£π€£π€£Kwendraaaa
Ungekuwa umenitwaa, mda kama huu tunaingia wote jikoni, umevaa washamoto nipo nyuma yako kama mkia, nakusaidia kukata vitunguu huku tunacheza cheza dah, sema ndio umenikataa π₯²π₯²Nitakuwekea badae mjomba nipike kwanza!!
Mie niache nipambane nahali yangu tyu mjomba hekaheka na Mapenzi ππππ Nakuafutia kibinti kimoja kikareeee balaaaaa! Just waitUngekuwa umenitwaa, mda kama huu tunaingia wote jikoni, umevaa washamoto nipo nyuma yako kama mkia, nakusaidia kukata vitunguu huku tunacheza cheza dah, sema ndio umenikataa π₯²π₯²
Mie nimekuona wewe, nimekupenda wewe, nimekufa na kuoza juu yako.. hao hata mie nawaona, ila mie nimeoza kwakoππMie niache nipambane nahali yangu tyu mjomba!! Nakuafutia kibinti kimoja kikareeee balaaaaa! Just wait
ππ uliniboaaaa snaa,, uwa sipendi kulaumiwa, na hapo hapo siwezi kumprove mtu wrong.ππ na ikawaje tukarudi tena hata kuongea .. maana una matusi wewe ya ki Arusha .. alafu una ni block π€£π€£π€£
Mwehh mjomba naona unatwanga maji kwenye kinu Hebu nikutafutie ushari shari utulie kwanza naona kisomi hatuelewani!!πMie nimekuona wewe, nimekupenda wewe, nimekufa na kuoza juu yako.. hao hata mie nawaona, ila mie nimeoza kwakoππ
Ewaaaa hapo sasa umeongea ππMwehh mjomba naona unatwanga maji kwenye kinu Hebu nikutafutie ushari shari utulie kwanza naona kisomi hatuelewani!!π