Kabisa. Mtu anakuquote but huoniWalikuwa wanakera sana Aiseee
Na notifications zao za mwezi JuneKabisa. Mtu anakuquote but huoni
Miss you too mama...mambo mambo tu ya hapa na paleMiss you sanaa dear ..ulitususa kweri kweri
Kitengo cha kukaribisha wageni selfika usituangushee!!!Mambo
Ni ingizo jipya au umebadili ID[emoji848]
[emoji1][emoji1] nilikuwa naenda web tuNa notifications zao za mwezi June
Hebu tuone ulivopendeza sasaπ€π€Ashindwe na alegee
Nipp dabo Mimi.
Nilikuwa singo humu nikawa napigwa tu na upepo hakuna aliyenidondokea.
Sasahivi Mama pasta nimeanza kupendeza wanajidai kunidondokea[emoji1787]
π€£π€£nimemshukuru kwa kuwepo jeiefu ππππUnamshukuru Kwa kipiπππ
Hivi maembe huwa Hamlin?
π€£π€£π€£π€£π€£Hebu tuone ulivopendeza sasaπ€π€
ππππππ€£π€£nimemshukuru kwa kuwepo jeiefu ππππ
Sijui walikuwa wanajisikiaje kutuwekea notifications za mwezi June[emoji1][emoji1] nilikuwa naenda web tu
Fanya hivo kipenzi muda mrefu sana umetisusa!!Ahahah mi mpigaji photo sasa mamii?. Lbd nikupe ya mguu [emoji1787][emoji1787]
Mambo yao tuwaachie Wenyewe.... sijui ndio bado wanaboresha labdaSijui walikuwa wanajisikiaje kutuwekea notifications za mwezi June
Imagine miezi yote walituwekea notificationza june18Mambo yao tuwaachie Wenyewe.... sijui ndio bado wanaboresha labda
Kuna muda jf wanazingua kinomaImagine miezi yote walituwekea notificationza june18
Sema juzi kati hapa Kuna Uzi tumewachamba.
Haya ndo maneno sasa.πππππ
Asante kwa niaba
Sema handsome sana AiseeeHaya ndo maneno sasa.
ππππ
SanaKuna muda jf wanazingua kinoma
Ebu tumuone shem handsome kwanzaππππ!Sema handsome sana Aiseee
Hadi anasababisha sijiamini
Ni kama wale ubawawekaga kwenye avatar..
Ila bonge la husband matirio,familia tumeopoa mtu na nusu π€£
Najua ungekuwa na uwezo wa kuwapiga wewe ungewabutua kweli kweli ππ€£π€£π€£π€£!!Sana
Unatamani uwapige