Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam, Dar Kuna joto Sana. Kwa hiyo Mimi siyo mzima Sana wa afya. Joto kimeniketea vipele.
Na hata huonekani kama kichwa yako unaweza kuifanya ngumu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Pole aise..lakini maji ya kuoga si yanapatikana?au hata maji ua kuosha vipele ni changamoto ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mapema San nitakuwa huko ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ