Selfika na JF: Snap it. Show it

Usshungu mnoo mjomba!!😭😭
 
Inaumaaa sana, nimeishiwa hata maneno .. πŸ₯Ή kifo sio kizuri
Kabisa mjomba!
Kuna kakijana kavuvi ka 20+ years nadhani kamejipatia ajira bana kalivunja dirisha la ndege kakazama ndani huko na kufanikiwa kuokoa baadhi ujasiri uliojee... Kamepewa tu million twake kadhaa nakuambiwa apelekwe jeshi sijui kakapate mafunzo ya uokoaji ajira straight..... wanakahoji kanalia tu Masikini .
 
Nimemuona kwenye clip analia kwa hisia, Mungu ambariki sana kwa moyo wake alioonyesha wa kujitolea.
Hatimaye kajipatia zake ajira
 
Kuna wanawake makatili, wameisha kaweka kwenye radar zao wakadange hela ziishe 🀣🀣🀣
 
Nimemuona kwenye clip analia kwa hisia, Mungu ambariki sana kwa moyo wake alioonyesha wa kujitolea.
Hatimaye kajipatia zake ajira
Yaniii hakakuamini masikini kamelia kwa hisia sana!! Mungu akasaidie tu kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…