Selfika na JF: Snap it. Show it

Audiomak sijaipenda goja nijaribu spotfy, nimeachana na iship napata taaabu kweli kule ndio kulikuwa na songs zanguu zote pendwa dah .. unataka $ ngapi nianze panda mbengu hata siku mkiachana unifikirie kwanza mie
Kama $ 50 hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‹


Audiomack nyimbo za kawaida ndio mb, ila classic classic hivi, baadhi ya gospo au nyimbo za zamani hupati yan kwa bure
 
Kama $ 50 hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‹


Audiomack nyimbo za kawaida ndio mb, ila classic classic hivi, baadhi ya gospo au nyimbo za zamani hupati yan kwa bure
$ 50 mbona kama unanipiga 🀣🀣🀣 au unataka sato tuu nayo bado napigwaa dah! Nyie wanawake mtatuuua
 
Ubaya si watataka access na bank? Naogopa tu hapo πŸ˜‚
Apple sio wahuni bana, tumia ABSA wapo vizuri sana kwenye online transaction na wapo na usalama wa juu, mie huwa nachofanya nina deposit hela kwenye account yangu ya apple , then narudi kwenye card nina stop kufanya any online trans, ila kama CRDB bado sanaa
 
Tia juhudi 🀣 maana na hili jua mbegu zinaweza goma kumea vizuri



0 haina shida wee 😺
Uniweke kwenye orodha juu ikitokea dharula nakuja chap chap kama team ya uokozi πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ .. acha nipande hiyo seed πŸ™‚πŸ™‚
 
Na ndio bank yangu hiyo CRDB..

Yan uoga huo ndo unanibakiza Audiomack
 
Na ndio bank yangu hiyo CRDB..

Yan uoga huo ndo unanibakiza Audiomack
Ila upo sawa kuhofu, uzuri iPhone ( iOS ) unacholipia ni uhakika. Uje nikufundiahe basi mambo ya usalama wa mitandao na mambo yote yahusianayo na online trans tuanzie hapo kuyajenga buree kabisaa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.. fungua account ya online trans ambayo unakuwa unaweka hela tu pale unapotaka fanya muamala
 
So sad!!_
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­

Maskini binti mzuri kabisa kafa mapenaaa ushunguuu sanaaa πŸ₯²πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…